بِسْÙ…ِ اللَّـهِ الرَّØْÙ…َÙ€ٰÙ†ِ الرَّØِيمِ
Mwezi Wa Shawaal 1441H Haukuonekana
Kesho In Shaa Allaah Tunakamalisha Ramadhwaan 30
'Iydul-Fitwr Itakuwa Jumapili In Shaa Allaah
Tumefuatilia mwandamo wa mwezi kila pahala na hivi sasa tumepata taarifa kwamba mwezi haukuonekana popote duniani leo hii Ijumaa tarehe 22 May, kwa hiyo kesho Jumamosi In Shaa Allaah tutakamilisha Ramadhwaan 30, Na 'Iydul-Fitwr itakuwa Jumapili tarehe 24 May In Shaa Allaah.
0 Comments