TAQABBALA ALLAAHU MINNAA WA MINKUM

TAQABBALA ALLAAHU MINNAA WA MINKUM

 

 

Tunawaomba radhi na tunasikitika kuwa taarifa za mwezi kutoka nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo Tanzania na Kenya kuchelewa kutufikia, ambapo kwa hakika mwezi ulionekana jana kwa taarifa za watu wengi wenye kuaminika, ila taarifa zilitufikia nyakati za usiku mwingi tukashindwa kuzitangaza kwa wakati.

 

Kwa hiyo leo hii Jumamosi tarehe 23.05.2020 ni Siku ya ‘Iydul-Fitwr.

 

 

Tunawaombea ‘Iyd ya furaha na tunamuomba Allaah (‘Azza wa Jalla) Atuondoshee Majanga ya Maradhi na Atuepushe na kila shari.

 

Aamiyn.

 

0 Comments