Sheikh Mkuu Dar awaasa wagombea kufanya kampeni za utu na heshima


Hayo yamezungumzwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhad Mussa Salim katika viwanja vya mnazi mmoja iliposwaliwa swala ya Eid.

Mbali na hilo Sheikh Alhad amesema dini ya uislam inafundisha amani, mshikamano na ushirikiano hivyo ni vema kupendana kushirikiana kwa ustawi wa amani na maendeleo nchini.

0 Comments