Taarifa Ya Masiku Kumi Ya Dhul-Hijjah, Siku Ya ‘Arafah Na ‘Iydul-Adhwhaa

Masiku kumi ya Dhul-Hijjah yataanza kesho In Shaa Allaah Jumatano tarehe 1 Dhul-Hijjah 1441H (22 Julai 2020M)

 

'Arafah (9 Dhul-Hijjah) itakuwa ni Alkhamiys  tarehe 30 Julai 2020M.

 

'Iyd Al-Adhw-haa ambayo ni siku ya 10 Dhul-Hijjah itakuwa Ijumaa  tarehe 31 Julai 2020M.

 

muislamublog.com Inawaombea Waislamu wote tawfqiya ya kutekeleza 'ibaadah kwa wingi katika masiku haya matukufu, na kutakabaliwa, na dhambi kughufuriwa. Aamiyn.

 

Msiache kumdhukuru Allaah ('Azza wa Jalla) kwa wingi masiku haya matukufu. 

0 Comments