Baraza la kitaifa la Uturuki limeondoa wadhifa wa Jumba la Makumbusho Hagia Sofia iliokuwa imewekwa tangu mwaka 1934.
Baraza la kitaifa la Uturuki limetangaza kundoa wadhifa wa Jumba la Makumbusha uliokuwa umewekwa tangu Novemba 24 mwaka 1934.
Uamuzi huo uliowekwa umeondolewa katika mkutano wa baraza la mawaziri.
Shirika moja la kulinda haki za milki za kihistoria Uturuki lilifikisha ombi lake serikali kuomba uamuzi kuhusu Hagia Sofia kuwa Jumba la Makumbusho uondolewe.
Julia 2 , mahakama ilitathmini nyaraka zote za pande mbili.
Ijumaa , baraza la 10 la ushauri katika serikali ilitoa tamko lake na kutangaza kufuta uamuzi wa baraza la mawaziri uliochukuliwa tangu Novemba 24 mwaka 1934.
Kwa muda wa miaka mingi, hadhi ya mskiti na jumba la makumbusha Hagia Sofia ilikuwa ilizua mjadala katika jamii kati ya wale wanauunga mkono kuwa jumba la makumbusha na wale ambao waliokuwa wakitaka kuwa nyumba ya ibada kabla ya mwaka 1934 kutaangazwa kuwa jumba la makumbusho.
Mjadala huo umepatiwa ufumbuzi na kutangazwa kwamba Hagia Sofia inarejea kuwa mskiti ni kufunguliwa kwa ajili ya ibada kwa waislamu.
Post a Comment