Imaam Al-Awzaa'iy: Jifunze Asw-Swidq Ukweli Kabla Ya Kujifunza ‘Ilmu

 Amesema Imaam Al-Awzaa’iy (Rahimahu-Allaah):

 

Jifunze Asw-Swidq (Kusema na kuwa mkweli) kabla ya kujifunza elimu.

 

 

[Sharh Hilyat Twaalib Al-‘Ilm (138)]

0 Comments