Taarifa tulizozipata kutoka nchi mbalimbali, ni kuwa mwezi wa Muharram 1442H umeandama, kwa hiyo tarehe 9 na 10 Muharram ambazo zimesisitizwa kwa Swawm kwa vile zinafuta madhambi ya mwaka mzima zitakuwa ni kama ifuatavyo:
9 Muharram (Taasu'aa) = Ijumaa 28 August 2020M
10 Muharram ('Ashuraa) = Jumamosi 29 August 2020M
Asiyejaaliwa Swawm tarehe 9 pamoja na tarehe 10, basi asikose Swawm ya tarehe 10 Muharram pekee.
0 Comments