Imaam An-Nawawiy: Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

 Swalaatur-Raghaaib Bid‘ah Inayochukiza Mno Inapaswa Kukemewa

 

Imaam An-Nawawiy (Rahimahu-Allaah)

 

www.muislamublog.com

 

 

Imaam An-Nawawiy amesema kuhusu Swalaatur-Raghaaib (inayoswaliwa mwezi wa Rajab): “Hiyo ni bid’ah inayochusha na inayokanushwa kwa nguvu, imejumuisha maovu kadhaa. Hivyo inapaswa kuachiliwa mbali na kukemewa kwa mwenye kuitekeleza.”

 

[Fataawaa Imaam An-Nawawiy (Uk. 57)]

 

 

0 Comments