February 12, 2021

Jinsi Ya Kutengeneza Juisi Ya Nanasi Na Tango

 

Vipimo

Nanasi  -  6 slesi

Tango -  1 la kiasi

Sukari -   ½ Kikombe

Barafu -  Kiasi

 

Namna Ya Kutayarisha

  1. Katakata nanasi na tango vipande vipande.
  2. Kisha tia kwenye mashine ya kusagia pamoja na sukari na vipande vya barafu.
  3. Ikiwa nzito sana ongeza maji.
  4. Mimina katika gilasi  

Kidokezo

Vipimo hivi ni kupata takriban gilasi 6.

 

 

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only