Waumini 3,000 Watakaofanya Itikaaf Katika Masjid An-Nabawi Wakati Wa Ramadhani 2022.


MADINAH (SAUDI ARABIA): Waumini 3,000 wamethibitishwa kufanya Itikaaf katika Masjid an-Nabawi.


Waumini wamejiandikisha kwa itikaaf kwenye Zaitoon App.

Waabuduo watashika itikafu mpaka muandamo wa mwezi wa Shaban.

0 Comments