Imaam As-Sa'dy: Ole Kwa Wenye Kunyoa Ndevu Wakamuasi Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Waziwazi

Ole Kwa Wenye Kunyoa Ndevu Wakamuasi Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Waziwazi

 

Imaam As-Sa’dy (Rahimahu-Allaah)


 Imaam As-Sa’dy (Rahimahu-Allaah) amesema:

 

“Hakika Allaah Amewajaalia sharaf  wanaume kwa ndevu na Akazifanya kuwa ni katika pambo na taadhima, basi ole kwa anayenyoa ndevu akaacha kuheshimu na akamuasi Nabiy wake waziwazi.”

 

[Al-Fawaakah Ash-Shahiyyah (Uk 73]

0 Comments