Rais Wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi , leo Mei 3 , 2022 amejumuika pamoja na Wananchi katika Baraza la Eid El Fitri lililofanyika kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani mjini Zanzibar.
0 Comments