Waziri mkuu kassim majaliwa ashiriki swala ya iyd


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir, wakati aliposhiriki sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza mawaidha yaliyotolewa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir, baada ya sala ya Idd El Fitri, iliyosaliwa kitaifa katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mei 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments