Recent posts

Buluwgh Al-Maraam بُلوغ الْمرام

Buluwgh Al-Maraam ni mkusanyiko wa Hadiyth zenye hukmu za ki-Fiqhi, alizozikusanya Imaam Al-Haafidwh Ibn Hajar Al-‘Asqalaaniy (Rahimahu Allaah) aliyezaliwa mwaka 773H mji wa Cairo.

Hutokuta katika Buluwgh Al-Maraam Hadiyth zinazohusiana na ‘Aqiydah kama kuhusu Rusuli wa Allaah na Manabii, Malaika, Majini, Jannah, Moto na kadhaalika. Bali ni Hadiyth zinazohusiana na hukmu za ‘ibaadah na mi’aamalaat.0 Comments